Mto Arno : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
taipo
No edit summary
Mstari 1:
{{Otheruses}}
{{Mto | jina = Arno
| picha= LocationArno.PNG
Line 17 ⟶ 16:
== Chanzo na njia ==
[[Picha:Ponte Vecchio.jpg|thumb|250px|left|Arno katikati ya Florence]]
Mto huu huanzia katika [[Mlima Falterona]], katika eneo la [[Casentino]] la [[milima]] ya [[ApenninesApenini]], kuelekea [[kusini]]. Mto huu hugeukia [[magharibi]] karibu na [[Arezzo]] kupitia [[Florence]], [[Empoli]] na [[Pisa]], unaingia katika [[bahari ya Liguria]] huko [[Marina di Pisa]].
 
Ukiwa na [[urefu]] wa [[kilomita]] 241, ndio mto mkubwa zaidi katika kanda hilo. [[Tawimito]] yake kuu ni: [[Sieve]] (kilomita 60), [[Bisenzio]] (kilomita 49), [[Ombrone]], [[Era]], [[Elsa]], [[Pesa (mto)|Pesa]] na [[Pescia]]. Eneo la kumwagia [[maji]] yake ni [[km²]] 8,200 na humwaga maji yake katika beseni zifuatazo ndogo:
Line 31 ⟶ 30:
Huvuka [[Florence]], ambapo hupitia chini ya [[Ponte Vecchio]] na [[daraja la Santa Trinità]] (lililojengwa na [[Bartolomeo Ammanati]], lakini kuhimizwa na [[Michelangelo]]).
 
Kiwango cha mtiririko cha Arno si sawa. Husemekana wakati mwingine kuwa na tabia ya [[kijito]], kwa sababu inaweza kwa urahisi kutoka kwenye karibu kavu hadi karibu-mafuriko katika siku chache. Katika hatua ambapo Arno hutengana na ApenninesApenini, vipimo vya mtiririko vinaweza kutofautiana kati ya 0.56 m³/s na 3540 m³/s. [[Bwawa]] mpya zilizojengwa juu ya Florence zimeweza kutatua shida hii katika miaka ya hivi karibuni.
[[Mafuriko]] ya mto huu yalijaa kwenye mji mara kwa mara katika nyakati kihistoria, tukio la mwisho kuwa mafuriko maarufu ya mwaka [[1966]], na 4500 m³/s baada ya [[mvua]] ya mm 437.2 katika Badia Agnano na milimita 190 mjini Florence, katika masaa 24 tu.
 
[[Mafuriko]] ya mto huu yalijaa kwenyeyalijaza mji maji mara kwa mara katika nyakati za kihistoria,; tukio la mwisho kuwani mafuriko maarufu ya mwakatarehe [[4 Novemba]] [[1966]], yakiwa na 4500 m³/s baada ya [[mvua]] ya mm 437.2 katika Badia Agnano na milimita 190 mjini Florence, katika masaa 24 tu. Mafuriko hayo yaliangusha kuta mjini Florence, na kuua watu angalau 40 na kuharibu au kuangamiza mamilioni ya kazi za [[sanaa]] na [[vitabu]] vya nadra.
Kiwango cha mtiririko cha Arno si sawa. Husemekana wakati mwingine kuwa na tabia ya kijito, kwa sababu inaweza kwa urahisi kutoka kwenye karibu kavu hadi karibu-mafuriko katika siku chache. Katika hatua ambapo Arno hutengana na Apennines, vipimo vya mtiririko vinaweza kutofautiana kati ya 0.56 m³/s na 3540 m³/s. [[Bwawa]] mpya zilizojengwa juu ya Florence zimeweza kutatua shida hii katika miaka ya hivi karibuni.
 
[[Mafuriko ya tarehe 4 Novemba 1966]] yaliangusha ukuta mjini Florence, na kuua watu angalau 40 na kuharibu au kuangamiza mamilioni ya kazi za sanaa na vitabu vya nadra . Mbinu mpya za kuhifadhi zilizinduliwa baada ya maafa hayo, lakini hata miaka 40 baadaye mamia ya matendo bado yanategea kurekebishwa. <ref>{{cite journal | author = Alison McLean | year = 2006 | month = Novemba | title = This Month in History | journal = Smithsonian | volume = 37 | issue = 8 | pages = 34 }}</ref> [[Bwawa]] mpya zilizojengwa juu ya Florence zimeweza kutatua shida hii katika miaka ya hivi karibuni.
 
== Picha ==
Line 57 ⟶ 56:
 
[[Jamii:Mito ya Italia|Arno]]
[[Jamii:Toscana]]
[[Jamii:Firenze]]
[[Jamii:Pisa]]