Gobori : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[picha:gobori.jpg|thumb|300px|Muundo wa kimsingi wa gobori: 1: risasi 2: baruti 3: shimo la kupashia moto ]]
[[Picha:Bössa med flintsnapplås, variant av hakspännslåset, Frankrike ca 1630 - Livrustkammaren - 19102.tif|300px|thumb|Gobori ]]
'''Gobori''' ni [[silaha ya moto]] asilia. Ni aina ya [[bunduki]] ya kimsingimsingi ambakoambayo [[risasi]] pamoja na [[baruti]] zinaingizwa pamoja kwenye [[mdomo]] wa [[kasiba]] ya [[silaha]] na risasi inafyatuliwa kwa kupasha [[moto]] kwenye [[shimo]] upande wa nyuma ya kasiba. Moto inawasha baruti na kusababisha mlipuko unaorusha risasi nje ya mdomo wa kasiba. Bunduki za kisasa hutumia [[ramia]] zinazopelekwa katika kasiba kutoka kando au nyuma.
 
Hadi leo kuna aina kadhaa za [[mzinga|mizinga]] zinazojazwa ramia kupitia mdomoni kama gobori. MenginevyoVinginevyo gobori siku hizi ni silaha inayotumiwa kwa [[michezo]] au kutengenezwa na watu nyumbani kwa uvindajiuwindaji haramu.
 
Kijeshi silaha hizihizo hazitumiwi tena tangu [[karne ya 19]] kwa sababu matumizi yake ni ya polepole kulingana na bunduki za kisasa. Gobori inaweza kupigwa mara 1-2 kwa [[dakika]], si haraka zaidi kama [[askari]] ameandaa tayari mizigo midogo ya baruti tayari kwa kila safari ya kupiga. Bunduki zinazotumia ramia zinaweza kupiga mara nyingi kwa dakika.
 
==Tazama pia==
*[[Silaha za moto]]
*[[bundukiBunduki]]
*[[risasiRisasi]]
*[[barutiBaruti]]
 
==Viungo vya Njenje==
*[http://www.nmlra.org/ National Muzzle Loading Rifle Association]
*[http://www.mlagb.com/ Muzzle Loaders association of Great Britain]