Chama cha Jamhuri cha Marekani : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Logo-GOP.png|alt=Chama_cha_Jamhuri_cha_Marekani|thumb|Chama_cha_Jamhuri_cha_Marekani]]
'''Chama cha Jamhuri cha Marekani''' (kwa [[Kiing.Kiingereza]] “Republican Party” au "Grand Old Party") ni [[chama cha kisiasa]] nchini [[Marekani]].

Kilianzishwa mwaka wa [[1854]] na tangu pale kikawa chama chenye nguvu tangu pale kikigombeana na [[Chama cha Kidemokrasia cha Marekani|Chama cha Kidemokrasia]].

Kulikuwa na [[Rais wa Marekani|Marais]] kumi na wanane kutoka Chama cha Jamhuri, kuanzia [[Abraham Lincoln]] ([[1861]]-[[1865]]) hadi [[George W. Bush]] ([[2001]]-[[2009]]).

Kuanzia tarehe [[20 Januari]] [[2017]], [[Donald Trump]] atakuwa [[rais]] wa 19 kutoka chama hicho.
 
{{mbegu-siasa}}