Uwindaji : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|Mwindaji maarufu alivyochorwa na [[Diego Velázquez akiwa na silaha n...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 13:24, 15 Januari 2017

Uwindaji (kwa Kiingereza Hunting) ni desturi ya kuua au kukamata wanyama, hasa kwa ajili ya kujipatia chakula, lakini pengine kwa biashara, burudani tu, kama si kwa kukomesha wanyama waharibifu.

Mwindaji maarufu alivyochorwa na Diego Velázquez akiwa na silaha na mbwa.

Mbali ya uwindaji halali, kuna ujangili unaohatarisha aina mbalimbali za wanyama kiasi cha kuwamaliza kabisa duniani.

Kama mnyama husika ni samaki, kazi hiyo inaitwa uvuvi.

Kabla ya kuanza uzalishaji, kwa karne nyingi binadamu wote walitegemea hasa uchumaji wa matunda na uwindaji.