Maendeleo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Maendeleo''' ni mabadiliko yanayoonekana kuboresha hali ya [[binadamu]].
[[File:Ranch style home in Salinas, California.JPG|thumb| [[Nyumba bora]] ya kuishi [[Salinas, California]], Marekani]]
 
Hali hiyo inajitokeza katika nyanja mbalimbali za [[maisha]] na kulisha mawazo mengi.