Sayansi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[File:Justus Sustermans - Portrait of Galileo Galilei, 1636.jpg|220px|thumb|left|upright|[[Galileo Galilei]],Baba baba wa sayansi.<ref>{{Cite journal|title=Galileo and the Birth of Modern Science|journal=American Heritage of Invention and Technology|volume=24}}</ref>{{rp| Vol. 24, No. 1, p. 36}}]]
'''Sayansi''' ni maarifa yanayopatikana kwa kufanya vitendo, kutazama na kujaribu kweli zilizo bainishwa pasi kuthibitishwa.
 
Mara nyingi [[Galileo Galilei]] anahesabiwa kuwa [[baba]] wa sayansi ya kisasa.
 
==Aina za Sayansi==
[[Picha:Astronaut-EVA.jpg|thumb|right|300px|Mtu aliyerushwa hadi angani. Kufikia katikati ya [[Karne ya 20]] binadamu ameweza kukua kisayansi na hivyo kuvumbua [[teknolojia]] zilizomwezesha kuruka na kuelea anga za juu kabisa za [[Dunia]] kwa mara ya kwanza na [[Uchunguzi wa Spezi|kuchunguza spezi]].]]
 
[[File:Justus Sustermans - Portrait of Galileo Galilei, 1636.jpg|220px|thumb|left|upright|[[Galileo Galilei]],Baba wa sayansi.<ref>{{Cite journal|title=Galileo and the Birth of Modern Science|journal=American Heritage of Invention and Technology|volume=24}}</ref>{{rp| Vol. 24, No. 1, p. 36}}]]
Kuna sayansi mbalimbali ambazo huainishwa katika:
 
Line 31 ⟶ 33:
* [[Unajimu]]
* [[Tiba]]
 
[[Picha:Charles Darwin seated crop.jpg|thumb|right|Charles Darwin mwaka 1854, alipokuwa anatunga kitabu chake [[On the Origin of Species]].]]
==Metodi za Kisayansi==
[[Picha:Charles Darwin seated crop.jpg|thumb|right|Charles Darwin mwaka 1854, alipokuwa anatunga kitabu chake [[On the Origin of Species]].]]
Msingi wa sayansi ni vitendo.
 
Vitendo vya Kisayansikisayansi vina njia zake zinazotumikia kusimamisha kweli ya kisayansi.
 
Namna ya kueleza jambo kisayansi huchimbuka toka Nadharia ama Udhanifu. Halafu tena ili Kweli ikubalike; hutoka kwenye udhanifu; kwa kupitia kupitia majaribio rasmi, hutengeneza dhana kamili ama nadharia kama ni shauri la kueleza mwenendo na tabia.
Line 41 ⟶ 44:
Kwa hivyo, asili ya njia ya kisayansi ni [[mtazamo]] unaokwenda sambamba na vitendo vinavyochunguzwa. Kutoka mitazamo wanasayansi wanaumba [[nadharia]]. Baadaye wanaangalia kama bashiri za nadharia ni kweli. Isipokuwa kweli watakanusha nadharia hii. Ikionekana kwamba mara nyingi sana nadharia ilibashiri ukweli, na haijakosea, itakuwa ni nadharia inayokubalika.
 
==Sura ya Kisayansikisayansi==
Mara chache, maarifa yatokanayo na sayansi yanaweza kuwa pingifu ya Hali ya kawaida. Kwa mfano nadharia ya [[atomu]] inasema kwamba katika Jiwe ([[Maada Yabisi]]) kuna uvungu ( [[dutu tupu]]), na kwamba atomi zinacheza katika nafasi ndogo katika jiwe ukifananisha na [[maada kimiminika]]. Lakini kwa nadharia hii tunaweza kueleza mambo mengi, hata kwa nini tunaweza kusema kwamba jiwe halina uvungu.
 
==Historia==
[[File:Pangea animation 03.gif|thumb|300px|Picha ya dunia ikionyesha kutokea kwa mabara kutoka kugawanyika kwa [[Pangea]] mpaka hivi leo.]]
=== Sura ya Kiutamadunikiutamaduni ===
Sayansi iliaanza kama udadisi wa mtu mmoja mmoja; lakini kadri maarifa yanavyopanuka, inakuwa vigumu kwa mtu mmoja kufanya mchango wakujitenga. Hivyo jumuiya zimebeba kusudi ambalo hapo mwanzo ilionekana kama ni shauku la mtu mmoja mmoja kama awali.
Aristotle, 384 BC – 322 BC - alichangia katika ukuaji wa sayansi.]]
 
 
Hii hufanya mkururo wa ugunduzi ama uvumbuzi kuwa ni sehemu ya historia ya Sayansi. Majina na sifa kutajwa sambamba na shauri la aliyepelekea.
 
Sayansi na Jamiijamii huenda pamoja katika kuleta mabadiliko, kwa kuwa mabadiliko huletwa na watu wenyewe.
 
=== Sayansi na Siasasiasa za dunia ===
Katika dunia hii ya leo, maendeleo ya watu hujidhihirisha sana kutokana na jinsi jamii husika ilivyopiga teke katika uwanja huu.
 
Ingawaje haibanishwi wazi miongoni mwa sura ya mambo ya kidunia, sayansi kwa kweli ni nguvu inayoweza kubadili maisha ya watu kwa wema; lakini katika kilele chake cha mafanikio, vyombo vyenye nguvu kimamlaka na fedha hushikilia baadhi ya matunda yake katika hali ya kibiashara na kiutawala zaidi.
 
=== Sayansi na Maendeleomaendeleo ===
Wapo watu pia ambao hutumia sayansi kujaribu kuboresha maisha ya watu wote kwa ujumla. Hivyo sayansi haibakii tu kuwa mikononi mwa wenye kushika dau kimifumo, bali changamoto ya wote wenye kutaka kuleta maendeleo ya ujumla.
[[File:Candle-light-animated.gif||thumb|left|upright=0.80|mamboMambo mbalimbali ya kikemikali yaliyosomwa na [[Michael Faraday]] na kuripotiwa katika historia yake kabla ya [[mamlaka ya kisheria]]: ''[[Historia ya kikemilkalikikemikali ya mshumaa]]'', mwaka [[1861]].]]
 
Na hivyo roho ya uchunguzi ndiondiYo iliyoleta kuzaliwa, kukua na kutapakaa kwa sayansi.
 
{{Lango|Sayansi}}