Tofauti kati ya marekesbisho "Teknolojia"

no edit summary
d (Bot: Migrating 123 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q11016 (translate me))
[[Picha:Astronaut-EVA.jpg|thumb|right|Katika nusu ya pili ya [[karne ya 20]] wanadamu walifaulu kutumia teknolojia mbalimbali kuwafikisha watu kwenye [[anga la nje]].]]
'''Teknolojia''' ni [[elimu]] inayohusu [[uhandisi]], [[ufundi]], [[ujenzi]], vifaa na mbinu za [[uzalishaji]] wa vifaa na huduma katika [[jamii]].
 
Asili ya [[neno]] ni [[Kigiriki]] "τέχνη" (''tamka: tékhne''): „uwezo, usanii, ufundi".
'''Teknolojia''' ni elimu inayohusu [[uhandisi]], [[ufundi]], [[ujenzi]], vifaa na mbinu za uzalishaji wa vifaa na huduma katika jamii.
 
Asili ya neno ni [[Kigiriki]] "τέχνη" (''tamka: tékhne''): „uwezo, usanii, ufundi".
 
Teknolojia inaweza kumaanisha:
* vifaa na [[mashine]] zinazotumika katika matengenezo au uzalishaji wa vitu
* elimu ya matumizi yake pamoja na mbinu na maarifa jinsi ya kutumia [[sayansi]]
* uwezo wa kubadili malighafi asilia na kuwa [[bidhaa]] yenye [[thamani]] inayoweza kukidhi mahitaji ya binaadamu[[binadamu]]. Hapa bidhaa haimaanishi tu vitu kama [[godoro|magodoro]], [[Gari|magari]] ya kutembelea, [[unga]] wa [[ngano]] n.k., la hasha: ni huduma yeyoteyoyote inayotolewa kwa jamii, mfano huduma ya [[usafiri]], huduma ya [[utalii]], huduma ya [[chakula]], na pamoja na vitu vyote vinavyozalishwa [[viwanda|viwandani]].
 
==Tazama pia==
* ''Tazama pia:'' [[Historia ya teknolojia]]
 
{{Sayansi}}
* ''Tazama pia:'' [[Historia ya teknolojia]]
 
[[Jamii:Teknolojia|!]]