Maisha : Tofauti kati ya masahihisho

523 bytes added ,  miaka 6 iliyopita
MAISHA
(MAISHA)
 
(MAISHA)
Maisha nimoja wapo kati ya msuala kuhusu thamani,madhumuni na umuhimu wa binadamu kuwapo duniani. suala hilo linaweza kujitokeza katika maswali mengi tofauti yanayo husiana,kamavile mbona tumekuwepo?,maisha yana husu nini?
nanini maana ya hayo yote. binadamu anajiuliza maswali kama hayo hasa anapokabiliana na kifo,mfano msiba wa ndugu au rafiki.
Limekuwa suala kuula udadisi kwa sayansi na technolojia tangu zamani. kumekuwa na idadi kubwa ya majibu kwa maswali hayo kutoka asili mbalimbali katika itikadi na kiutamaduni.