Usawa wa kijinsia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Bot: Migrating 3 langlinks, now provided by Wikidata on d:q113453
No edit summary
Mstari 1:
[[File:Igualtat de sexes.svg|thumb|[[Ishara]] ya usawa wa kijinsia.]]
{{Mergefrom|Usawa wa Kijinsia|date=Julai 2010}}
'''Usawa wa kijinsia''' ni lengo la jitihada za kuleta [[usawa]] kati ya [[jinsia]] zote, kutokana na [[dhuluma]] mbalimbali za jinsia moja dhidi ya nyingine.
 
Usawa wa kijinsia unahusiana na [[haki za binadamu]], hasa [[haki za wanawake]] na [[maendeleo]] ya ki[[uchumi]]. [[UNICEF]] inafafanua usawa wa kijinsia kama "kusawazisha uwanja wa kucheza kwa [[wasichana]] na [[wanawake]] kwa kuhakikisha kwamba [[watoto]] wote wana fursa sawa ya kuendeleza [[Kipaji|vipaji]] vyao".
[[File:Igualtat de sexes.svg|thumb|Ishara ya usawa wa kijinsia]]
'''Usawa wa kijinsia''' ni lengo la kuleta [[usawa]] kati ya [[jinsia]] zote, kutokana na [[dhuluma]] mbalimbali za jinsia moja dhidi ya nyingine.
 
Mfuko wa Idadi ya Watu wa [[Umoja wa Mataifa]] (United Nations Population Fund) ulitangaza usawa wa kijinsia "kwanza kabisa kama haki ya binadamu".
Usawa wa kijinsia unahusiana na [[haki za binadamu]], hasa [[haki za wanawake]] na [[maendeleo]] ya ki[[uchumi]]. [[UNICEF]] inafafanua usawa wa kijinsia kama "kusawazisha uwanja wa kucheza kwa wasichana na [[wanawake]] kwa kuhakikisha kwamba watoto wote wana fursa sawa ya kuendeleza vipaji vyao".
 
Usawa wa kijinsia ni mojawapo kati ya malengo ya "mradi wa Milenia" wa Umoja wa Mataifa unaotarajia kumaliza [[umaskini]] ulimwenguni ufikapo mwaka [[2015]]; mradi huo unadai, "Kila lengo linahusiana moja kwa moja na haki za wanawake, na [[jamii]] ambamo wanawake hawana [[haki]] sawa kama za [[wanaume]] kamwe haziwezi kufanikisha [[maendeleo]] kwa namna endelevu".
Mfuko wa Idadi ya Watu wa Umoja wa Mataifa (United Nations Population Fund) ulitangaza usawa wa kijinsia "kwanza kabisa kama haki ya binadamu".
 
Hivyo, kukuza usawa wa kijinsia kunaonekana kama himizo kwa mafanikio makubwa ya uchumi. Kwa mfano, [[Waarabu|mataifa ya Kiarabu]] ambayo yanawanyima wanawake usawa yalionywa katika ripoti iliyofadhiliwa na [[Umoja wa Mataifa]] mwaka [[2008]] kwamba kitendo cha kuwanyima [[mamlaka]] wanawake ni kipengele muhimu kinachodhalilisha kurudi kwa mataifa haya katika nafasi ya kwanza ya uongozi wa [[dunia]] katika [[biashara]], [[elimu]] na [[utamaduni]].
Usawa wa kijinsia ni mojawapo kati ya malengo ya "mradi wa Milenia" wa Umoja wa Mataifa unaotarajia kumaliza [[umaskini]] ulimwenguni ufikapo mwaka [[2015]]; mradi huo unadai, "Kila lengo linahusiana moja kwa moja na haki za wanawake, na [[jamii]] ambamo wanawake hawana [[haki]] sawa kama za [[wanaume]] kamwe haziwezi kufanikisha maendeleo kwa namna endelevu".
 
Hivyo, kukuza usawa wa kijinsia kunaonekana kama himizo kwa mafanikio makubwa ya uchumi. Kwa mfano, [[Waarabu|mataifa ya Kiarabu]] ambayo yanawanyima wanawake usawa yalionywa katika ripoti iliyofadhiliwa na [[Umoja wa Mataifa]] mwaka [[2008]] kwamba kitendo cha kuwanyima mamlaka wanawake ni kipengele muhimu kinachodhalilisha kurudi kwa mataifa haya katika nafasi ya kwanza ya uongozi wa [[dunia]] katika [[biashara]], [[elimu]] na [[utamaduni]].
 
== Marejeo ==
Line 31 ⟶ 29:
[[Category:Elimu Jamii]]
[[Jamii:Sheria]]
 
[[cs:Sociální nerovnost]]
[[gn:Joja]]
[[he:שוויון]]
[[it:Uguaglianza sociale]]
[[ta:சமத்துவம்]]
[[vi:Bất bình đẳng xã hội]]
[[yi:גלייכרעכטיקייט]]