Gambia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 53:
}}
[[Picha:Ga-map.png|350px|thumb|left|Map of the Gambia]]
'''Gambia''' (jina rasmi: '''Republic of The Gambia''') ni nchi ndogo kabisa ya [[Afrika]] [[bara]]. Eneo lake lote linazungukwa na [[Senegal]] kwa kufuata mwendo wa [[mto]] [[Gambia (mto)|Gambia]] hadi [[Bahari]] ya [[Atlantiki]].
 
Kimsingi nchi yote ni maeneo mawiliya kandokando ya mto huo; [[urefu]] ni takriban [[km]] 500, [[upana]] kati ya 10 na 50.
 
==Historia==
EneoZamani eneo la Gambia lilikuwa sehemu ya [[Dola la Mali]] na [[Dola la Songhai]].
 
Nchi kama ilivyo leo imepatikana kutokana na mvutano kati ya [[Uingereza]] na [[Ufaransa]] wakati wa [[ukoloni]].
 
Mwanzoni Uingereza ulitafuta tu njia ya [[maji]] kwa ajili ya [[biashara]], bila kujali [[utawala]] wa nchi.
 
Mapatano kati ya Ufaransa na Uingereza baada ya [[vita]] vya [[Napoleon Bonaparte]] yaliimarisha hali hiyo. Wafaransa walichukua eneo lote kubwa la Senegal, na Waingereza ile kanda ndogo ndani ya Senegal.
 
Tangu [[uhuru]] wa nchi zote [[mbili]] palikuwa na mpango wa kuziunganisha kwa njia ya [[shirikisho]] lililoanzishwa mwaka [[1982]] lakini Gambia ilitoka katika mapatano hayo mwaka [[1989]].
 
Hadi mwaka [[1994]] Gambia ilifuata mfumo wa [[demokrasia]] ya [[vyama vingi]] lakini mwaka ule [[uasi]] wa [[wanajeshi]] ulipindua [[serikali]] na kuwa chanzo cha utawala wa [[Yahya Jammeh]] aliyekuwa kiongozi, kwanza kama mwenyekiti wa kamati ya kijeshi, baadaye kama [[rais]] aliyechaguliwa mwaka 1996 na kuchaguliwa tena miaka 2001, 2006 na 2011. Isipokuwa mwaka 2001 wapinzani na watazamaji wa nje walilalamika ya kwamba [[kura hizi]] hazikuwa huru.
 
Mwaka [[2013]] Jammeh alitoa Gambia katika [[Jumuiya ya Madola]] kama chombo cha [[ukoloni mamboleo]].
Mstari 74:
Mwaka [[2015]] Jammeh alitangaza Gambia kuwa nchi ya [[Uislamu|Kiislamu]].
 
Katika [[uchaguzi wa kiraisirais]] wa mwaka [[2016]] [[vyama vya upinzani]] viliungana, na mgombea wao [[Adama Barrow]] alishinda, ilhali Jammeh awali alikubali kushindwa awali, lakini baada ya siku chache alitangaza ya kwamba alitaka kubatilisha matokeo na kuwa na [[uchaguzi]] mpya.<ref>[https://www.theguardian.com/world/2016/dec/10/the-gambia-troops-deployed-to-streets-as-president-rejects-election-defeat Gambia: troops deployed to streets as president rejects election defeat ] theguardian.com 10-12-2016, imeangaliwa 10-12-2016</ref>
 
== Wakazi ==
Mstari 113:
 
== Uchumi ==
[[Uchumi]] unategemea [[kilimo]], [[uvuvi]] na hasa [[utalii]]. Mwaka [[2008]], [[thuluthi]] moja ya wananchi hawakuwa na [[kipato]] cha [[$]] 1.25 kwa siku.
 
==Tanbihi==