Tofauti kati ya marekesbisho "Fonolojia"

4 bytes added ,  miaka 3 iliyopita
no edit summary
Hivyo, fonetiki huchunguza sauti nyingi kadiri iwezekanavyo, lakini fonolojia huchunguza sauti chache tu zilizomo katika mfumo wa sauti wa lugha husika. Mathalani, mfumo wa sauti wa lugha ya Kiswahili una sauti [[thelathini]] tu (irabu [[tano]] na konsonanti [[ishirini na tano]]).
 
Jambo lingine la kuzingatia ni vipashio vya kiuchambuzi vya matawi haya mawili. Wakati fonetiki kipashio chake cha msingi ni FONI"foni", fonolojia kipashio chake cha msingi ni FONIMU"fonimu". Kwa kuzingatia maelezo ya hapo awali, ni wazi kuwa FONIfoni ni nyingi zaidi kuliko FONIMUfonimu, kwa kuwa FONIfoni ni kila sauti itamkwayo na binadamu, wakati FONIMUfonimu ni sauti zile tu zilizomo katika mfumo wa sauti wa lugha mahususi. Hivyo, kuna FONIMUfonimu za Kiswahili, za Kiingereza, za [[Kichina]], n.k., lakini FONIfoni si za lugha yoyote, wala huwezi kusema kwa uhakika kuna FONIfoni ngapi, kwa kuwa bado kuna lugha nyingi [[duniani]] ambazo hazijatafitiwa.
== Marejeo ==