Mamlaka : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Mamlaka (kutoka katika neno la kilatini ''auctoritas'') linaweza kutumika kumaanisha haki ya kisheria ya kutumia nguvu ambayo imetolewa na nchi au vyombo vi...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 13:23, 20 Januari 2017

Mamlaka (kutoka katika neno la kilatini auctoritas) linaweza kutumika kumaanisha haki ya kisheria ya kutumia nguvu ambayo imetolewa na nchi au vyombo vingine vya serikali kama mahakama,bunge na vyombo vya dola. Neno mamlaka linapotumika katika mashirika au taasisi, huwa linamaanisha chombo kinachitawala ambayo kimepewa nguvu, mfano (Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka Morogoro).Pia neno mamlaka linaweza kumaanisha haki ya kufanya kitu fulani.