Tofali : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Tengua pitio 988094 lililoandikwa na 41.59.34.24 (Majadiliano)
Mstari 13:
[[Picha:RomaniaDanubeDelta MakingMaterialForCOnstructing0001jpg.JPG|thumbnail|Matofali ya udongo wa kukauka huandaliwa katika Romania kwa kuchanganya udongo na manyasi makavu; matofali ni makubwa kwa sababu si imara sana baada ya kukauka]]
[[Picha:Handstrichziegel - Vorbereitung des Lehms (Aliwal North, Dukatole).jpg|200px|thumbnail|Udongo unaandaliwa kwa kuuchanganya na maji]]
[[Picha:Handstrichziegel -Trocknung der Ziegel (Aliwal North, Dukatole).jpg|thumbnail|KanisaMatofali lamabichi ROSKLIDE nchini Denmarkyanakauka]]
 
==Uandaaji wa tofali==
Kabla ya kuitwa tofali kitu cha kwanza ni kutafuta [[mchanga]] ususani kwa matofali ya simenti lakini kwa matofali ya udongo huwa ni kwanza kutafuta udongo mzuri kwa ajiri ya kushikamanisha na maji baadae. Kwa udongo wa mfinyanzi ni mzuri kuliko udongo mwingine kwa kutengeneza tofali la udongo. Lakini pia kwa matofali ya kuchoma huhitaji udongo mzuri pia unao shikamana kwa ajili ya kutangeneza tofali. Baada ya kutafuta udongo mzuri zoezi la uchanganyaji wa maji huanza kwa aina zote za matofali. Mara nyingi utengenezaji wa matofali huhitaji fremu ya kibao kwa ajili ya kuandaa muundo maalumu wa tofali lenyewe maalumu kwa ajili ya ujenzi wa nyumba.