Gambia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 74:
Mwaka [[2015]] Jammeh alitangaza Gambia kuwa nchi ya [[Uislamu|Kiislamu]].
 
Katika [[uchaguzi wa rais]] wa mwaka [[2016]] [[vyama vya upinzani]] viliungana, na mgombea wao [[Adama Barrow]] alishinda, ilhali Jammeh awali alikubali kushindwa, lakini baada ya siku chachenane alitangaza ya kwamba alitaka kubatilisha matokeo na kuwa na [[uchaguzi]] mpya.<ref>[https://www.theguardian.com/world/2016/dec/10/the-gambia-troops-deployed-to-streets-as-president-rejects-election-defeat Gambia: troops deployed to streets as president rejects election defeat ] theguardian.com 10-12-2016, imeangaliwa 10-12-2016</ref>
 
Wananchi walianza kukimbilia nchini Senegal.
 
Tarehe [[19 Januari]] [[2017]], [[rais mteule]] aliapishwa katika [[ubalozi]] wa Gambia huko [[Dakar]], halafu [[wanajeshi]] wa Senegal, [[Nigeria]] na [[Ghana]] walivamia nchi ili kumuondoa [[madaraka|madarakani]] kwa idhini ya [[Umoja wa Mataifa]].
 
== Wakazi ==