Gambia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 79:
 
Tarehe [[19 Januari]] [[2017]], [[rais mteule]] aliapishwa katika [[ubalozi]] wa Gambia huko [[Dakar]], halafu [[wanajeshi]] wa Senegal, [[Nigeria]] na [[Ghana]] walivamia nchi ili kumuondoa [[madaraka|madarakani]] kwa idhini ya [[Umoja wa Mataifa]].
 
Tarehe [[21 Januari]] Jammeh alikubali kuachia.
 
== Wakazi ==