Lugha ya kwanza : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 2:
 
Pia lugha hiyo huitwa '''lugha mama''' (kwa [[Kiingereza]] "mother tongue") kwa vile watu wengi hujifunza lugha yao ya kwanza kutoka kwa [[mama]] [[mzazi]]. Lakini hiyo si lazima: mara nyingine mtoto halelewi na mama, au kama analelewa, anatumia muda mrefu zaidi na watoto wenzake (hasa shuleni), hivyo anazoea lugha yao kuliko ile ya nyumbani, hata kama ni tofauti kabisa.
[[File:Int-mother-lang-day-monument.jpg|thumb|right|Sikukuu ya lugha Mama mjini Sydney, Australia, 19 February 2006]]
 
Kwa sababu hiyohiyo wapo watu wenye lugha mama zaidi ya moja.