Ua : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
{{otheruses|UA}}
[[Picha:Flower poster 2.jpg|right|250px|thumb|Maua mbalimbali]]
[[File:ABC flower development.svg|thumb|upright|Mchoro wa ABC unaoonyesha kukua kwa ua]]
'''Maua''' ni [[jani|majani]] ya pekee kwenye sehemu za [[uzazi]] wa [[mimea]]. Mara nyingi kwa nje huwa na [[rangi]] za kuvutia na kwa sababu hii maua yanapendwa pia na [[wanadamu]] kama [[Pambo|mapambo]]. Katika [[lugha]] ya kila siku [[neno]] "ua/maua" linataja pia mmea wote wenye maua.
 
== Petali ==
Majani ya nje au [[petali]] yanayoonekana vizuri pamoja na rangi yake huitwa petali. Huwa na rangi mbalimbali ili kuvuta [[wadudu]] wanaochavusha ua na hivyo kuusaidia mmea kuzaa. Yanaviringisha na kukinga viungo vya uzazi ndani yake.
 
[[Picha:Bluete-Schema.svg|thumb|200px|'''Sehemu za ua'''<br />1 kombe, 2 Sepali, 3 Petali, 4 Stameni zenye chavulio na filamenti, 5 Kapeli ya stigma, staili na ovari]]
 
Mstari 23:
** [[Staili]] inashika stigma na kupitisha mbelewele ndani yake
** [[Ovari]] ina [[chembekike]] ndani yake. Chembekike ni kama [[yai]] la [[mnyama]]; kikitunganishwa na mbelewele, [[mbegu]] unajitokeza.
[[File:Flowers-of-Israel-ver006.jpg|thumb|upright=1.5|Aina mbalimbali za maua ya [[Israeli]].]]
 
=== Ovari na mbegu ===
Mstari 34:
{{commonscat|Flowers|Maua}}
* [http://www.digitalphoto.pl/en/plants/flowers/ Picha za maua]
 
[[File:ABC flower development.svg|thumb|upright|Mchoro wa ABC unaoonyesha kukua kwa ua]]
{{mbegu-biolojia}}