Aristoteli : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d →‎Viungo vya Nje: All info is kept in Wikidata, removed: {{Link FA|de}} (3) using AWB (10903)
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Aristoteles Louvre.jpg|right|thumb|200px|Aristoteli , nakala ya Kiroma ya kichwa kilichochongwa kiasili na mchongaji Mgiriki Lysippo wakati wa karne ya 4 KK]]
'''Aristoteli''' (kwa [[Kigiriki]] '''Αριστοτέλης''', aristotelēsAristotelēs; pia: '''Aristo''') (* [[384 KK]] - † [[7 Machi]] [[322 KK]]) alikuwa [[mwanafalsafa]] muhimu wa [[ustaarabu]] wa [[Ugiriki ya Kale]].
 
'''Aristoteli''' ([[Kigiriki]] '''Αριστοτέλης''' aristotelēs; pia: '''Aristo''') (* [[384 KK]] - † [[7 Machi]] [[322 KK]]) alikuwa mwanafalsafa muhimu wa [[ustaarabu]] wa [[Ugiriki ya Kale]].
 
Pamoja na [[Plato]] huhesabiwa kati ya wanafalsafa muhimu zaidi katika [[utamaduni]] wa magharibi. Aristoteli alikuwa mwalimu wa [[Aleksander Mkuu]] kabla huyu hajawa [[mfalme]].
 
Alichangia sehemu kubwa sana katika [[elimu]] ya [[sayansi]] na [[falsafa]]. mawazo na ugunduzi wake umewachochea watu na [[maandishi]] yake yametafsiriwa na kusomwa na watu wengi sana. <ref>Profesa wa historia James MacLachlan aliandika hivi: ulimwengu wa asili yalitawala katika fikra za watu wa Ulaya kwa miaka 2000.</ref>
 
Aristoto aliandika kuhusu [[sanaa]], [[nyota]], [[biolojia]], [[maadili]], [[lugha]], [[sheria]]. Zamani watu wa Ulaya walifuata mafundisho ya Aristoteli. [[Mwanateolojia]] mashuhuri wa [[Roma]] [[Thomas Aquinas]] alitumia sana maandishi ya Aristoteli.
 
== Maisha ==