Ua : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Masahihisho
Mstari 6:
== Petali ==
Majani ya nje au [[petali]] yanayoonekana vizuri pamoja na rangi yake huitwa petali. Huwa na rangi mbalimbali ili kuvuta [[wadudu]] wanaochavusha ua na hivyo kuusaidia mmea kuzaa. Yanaviringisha na kukinga viungo vya uzazi ndani yake.
[[Picha:Bluete-Schema.svg|thumb|200px|'''Sehemu za ua'''<br />1 kombe, 2 Sepali, 3 Petali, 4 Stameni zenye chavulio na filamenti, 5 KapeliPistili yayenye stigma, staili na ovari]]
 
== Viungo vya uzazi ==
Viungo hivi kimsingi ni vya aina mbili:
* [[stameni]] ni sehemu za kiume
* [[kapelipistili]] au pistili ni sehemu za kike
 
=== Stameni ===
Mstari 18:
** [[Chavulio]] chenye [[mbelewele]] ambazo ni [[seli]] za kuzaa za kiume.
 
=== KapeliPistili ===
Pistili au sehemu ya kike huwa na sehemu tatu:
** [[Stigma]] ni uso wa kunata juu wa pistili; kazi yake ni kushika mbelewele
Mstari 24:
** [[Ovari]] ina [[chembekike]] ndani yake. Chembekike ni kama [[yai]] la [[mnyama]]; kikitunganishwa na mbelewele, [[mbegu]] unajitokeza.
[[File:Flowers-of-Israel-ver006.jpg|thumb|upright=1.5|Aina mbalimbali za maua ya [[Israeli]].]]
Pistili zimeundwa kwa [[kapeli]] moja au kadhaa ambazo ni aina za majani maalumu yanayobeba ovari.
 
=== Ovari na mbegu ===