Mwalimu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|250px|[[Darasa la shule ya sekondari nchini Sierra Leone.]] File:Brack Voc...'
 
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:Classroom at a seconday school in Pendembu Sierra Leone.jpg|thumb|250px|[[Darasa]] la shule ya [[sekondari]] nchini [[Sierra Leone]].]]
[[File:Brack Vocabularius rerum.jpg|170px|thumb|Mwalimu wa [[Kilatini]] na wanafunzi wake wawili, 1487]]
'''Mwalimu''' (kutoka neno la [[Kiarabu]]; kwa [[Kiingereza]] ''teacher'', ''school teacher'' na pengine ''educator'') ni [[mtu]] anayesaidia wengine kupata [[ujuzi]], [[maarifa]] na [[tunu]].
 
[[Kazi]] hiyo inaweza kufanywa na yeyote katika nafasi maalumu, kwa mfano [[mzazi]] au [[ndugu]] akimfundisha [[mtoto]] [[Nyumba|nyumbani]], lakini kwa wengine ndiyo njia ya kupata [[riziki]] inayomdai karibu kila siku kwa miaka mingi, kwa mfano [[Shule|shuleni]]. Huko mwalimu anatakiwa kuwa na [[shahada]] au [[stashahada]], kadiri ya [[sheria]] za nchi na ya ngazi ya elimu inayotolewa.
 
==Majukumu==
Mstari 42:
* [[Yohane Bosco]]
* [[Leib Glantz]]
* [[Yohane Mbatizaji de La Salle]]
* [[Maria Montessori]]
* [[Charles Rollin]]