Maisha : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
MAISHA
No edit summary
Mstari 1:
'''Maisha''' ni [[muda]] ambao [[kiumbe hai]] anajaliwa kuishi. Ni hali tofauti kabisa na [[uzima]] wa [[milele]].
Maisha nimoja wapo kati ya msuala kuhusu thamani,madhumuni na umuhimu wa binadamu kuwapo duniani. suala hilo linaweza kujitokeza katika maswali mengi tofauti yanayo husiana,kamavile mbona tumekuwepo?,maisha yana husu nini?
 
nanini maana ya hayo yote. binadamu anajiuliza maswali kama hayo hasa anapokabiliana na kifo,mfano msiba wa ndugu au rafiki.
[[Maana ya maisha]] ni mojawapo kati ya masuala makuu ya [[binadamu]] [[duniani]]: hawezi kukwepa maswali ya kutoka [[Moyo|moyoni]] mwake kuhusu thamani, madhumuni na umuhimu wa maisha yake.
Limekuwa suala kuula udadisi kwa sayansi na technolojia tangu zamani. kumekuwa na idadi kubwa ya majibu kwa maswali hayo kutoka asili mbalimbali katika itikadi na kiutamaduni.
 
Suala hilo linaweza kujitokeza kwake katika maswali mengi tofauti yanayohusiana, kama vile: "mbona tumekuwepo?"; "maisha yanahusu nini?" na "nini maana ya hayo yote? Binadamu anajiuliza maswali kama hayo hasa anapokabiliana na [[kifo]], kwa mfano msiba wa [[ndugu]] au [[rafiki]].
 
LimekuwaHilo limekuwa suala kuulakuu la [[udadisi]] kwawa [[sayansi]], [[falsafa]] na technolojia[[dini]] tangu zamani. Hivyo kumekuwa na [[idadi]] kubwa ya majibu kwa maswali hayo kutoka asili mbalimbali katikakadiri ya [[itikadi]] na kiutamaduni[[utamaduni]].
 
{{mbegu}}
 
[[Jamii:Falsafa]]
[[Jamii:Dini]]