Dioksidi kabonia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 12:
 
Kuongezeka kwa gesi hii hewani kunasababisha [[kupanda kwa halijoto duniani]] kunakoonekana kama tatizo kubwa kwa wakati ujao. Muhimu ni tabia ya CO<sub>2</sub> kupitisha [[nuru]] inayoonekana kama nuru ya [[jua]] lakini kuzuia [[mnururisho]] wa [[infraredi]] yaani [[joto]]. Maana yake [[nishati]] ya [[mwanga]] unaoonekana inaingia katika angahewa ya [[dunia]] lakini joto peke yake halitoki kwa urahisi. Tabia hii ni muhimu kwa [[uhai]] duniani kwa sababu kaboni dioksidi hewani inazuia kupoa kwa dunia wakati wa [[usiku]]; ila tu kuongezeka kwa gesi kutokana na shughuli za [[binadamu]] kunasababisha pia kupanda kwa halijoto duniani na matokeo yake yasiyotakiwa.
 
==Soma pia==
*[[Kupanda kwa halijoto duniani]]
 
{{mbegu-kemia}}