Tofauti kati ya marekesbisho "Edward Albee"

27 bytes added ,  miaka 4 iliyopita
no edit summary
 
}}
 
'''Edward Franklin Albee''' ([[12 Machi]], [[1928]] - [[16 Septemba]], [[2016]]) alikuwa mwandishi wa tamthiliya kutoka nchi ya [[Marekani]]. Anajulikana hasa kwa [[tamthiliya]] yake “Nani Anaogopa Virginia Woolf?” (kwa [[Kiingereza]]: ''Who’s Afraid of Virginia Woolf?'') iliyotolewa 1962. Kwa ajili ya tamthiliya zake za baadaye alikuwa mshindi wa '''[[Tuzo ya Pulitzer ya Tamthiliya]]''' miaka ya 1967, 1976 na 1992.
 
{{Commons category}}
{{DEFAULTSORT:Albee, Edward}}
[[Jamii:Waliozaliwa 1928]]
[[Jamii:WaliofaarikiWaliofariki 2016]]
[[Jamii:Waandishi wa Marekani]]
[[Jamii:Tuzo ya Pulitzer ya Tamthiliya]]
 
{{Mbegu-mwandishi-USA}}
62,394

edits