Watiriko : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Added content
Tags: Mobile edit Mobile web edit
Added content
Tags: Mobile edit Mobile web edit
Mstari 3:
Kusudi wapate kukubalika katika jamii ya nchi hii mpya (ambapo ilikuwa ni himaya ya Wagogo, ijapo walikuta sehemu ile haikuwa na wakazi) iliwalazimu kuiga mila na desturi ya wenyeji wa karibu na eneo lile, mfano: kutoga masikio, kutoa meno mawili ya chini, kufanya tohara kwa wanaume na watoto wa kike. Kwa njia hiyo walikubalika katika jamii ile na waliweza kuwa watawala (au ''watemi'').
 
Waliweza kuoa wenyeji wa pale, na matokeo yake ikapatikana lugha iliyokuwa mchanganyiko wa Kigogo na Kihehe, hadi leo lugha hiyo wanaiita [[Kitiriko]].kabila hili linapatikana hasahasa maendeo ya kusini mwa mkoa wa dodoma hasahasa [[Kibakwe]], [[chamtumile]], [[ikuyu]] na maeneo ya karibu na hayo. Kabila hili linatawaliwa na koo chache zenye nguvu katika jqmii hii ya watiriko kama vile [[ Mduwile MDUWILE]]ambao chimbuko lao ni maeneo ya bondeni katika kijiji cha [[Lwihomelo]] ambapo kuna eneo lijilikanalo kama [[PITILIKO]]. Koo zingine ni kama chugulu, semwali ambao asili yao ni mlima [[Semi]] hapa kibakwe.
 
{{mbegu-utamaduni-TZ}}