Rasi ya Sinai : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Sinai Peninsula from Southeastern Mediterranean panorama STS040-152-180.jpg|thumb|right|Rasi ya Sinai, [[Ghuba ya Suez]] (magh.magharibi), [[Ghuba ya Aqaba]] (mash.mashariki) inavyoonekana kutoka angani.]]
 
'''Rasi ya Sinai''' (kwa [[Kiar.Kiarabu]]: سيناء, sina' سيناء) ni [[rasi]] yenye [[umbo]] la [[pembetatu]] nchini [[Misri]] upande wa [[kaskazini]] yawa [[Bahari ya Shamu]] inayounganisha ma[[bara]] zaya [[Afrika]] na [[Asia]]. Inahesabiwa kuwa sehemu ya mwisho wa [[Asia ya Magharibi]].
 
Eneo la Sinai ni takriban [[km²]] 60,000 km², hasa [[jangwa]]. Imepakana na [[Ghuba ya Suez]] upande wa [[magharibi]] na [[Ghuba ya Aqaba]] upande wa [[mashariki]]. Upande wa magharibi [[Mfereji wa Suez]] unaunganisha [[Bahari ya Shamu]] na [[Mediteranea]]. Kaskazini ya mwisho wa Ghuba ya Aqaba ni mpaka kati ya Misri na [[Israel]].
 
Mahali panapojulikana zaidi ndani ya eneo al rasi ni [[mlima Sinai]] (pia: mlima Horeb, jabalJabal Musa) unaoaminiwa ni mahali ambako [[Musa]] alipokea [[amri kumi]] za [[Mungu]].
 
Kati ya [[Raffa]] (Kaskazini) na [[Tabba]] (Kusini) kuna mufeligimfereji wa Taabah - Raffah Straight ([[Bar Lev Line]] kwa kihebronia[[Kihebrania]]).
 
Kwenye [[pwani]] laya rasi [[utalii]] ni sehemu muhimu ya [[uchumi]].
 
[[Jamii:Misri]]