Haramia : Tofauti kati ya masahihisho

135 bytes added ,  miaka 5 iliyopita
no edit summary
d (All info is kept in Wikidata, removed: {{Link FA|es}} (3) using AWB (10903))
No edit summary
[[Picha:Pirate Flag of Rack Rackham.svg|thumb|250px|Bendera ya kihistoria ya maharamia Wazungu kwenye [[Atlantiki]] ]]
'''Haramia''' ni [[jambazi]] anayefanya mambo yake kwenye [[gimba]] la [[maji]], hasa [[bahari]]ni.
 
Kufuatana na [[Mkataba wa Umoja wa Mataifa juu ya sheria za bahari]] uharamia ni matendo yoyote ya [[jinai]] yoyote yanayotekelezwa baharini na [[baharia|mabaharia]] au [[abiria|maabiria]] wa [[meli]] binafsi dhidi ya meli nyingine au dhidi ya [[Mtu|watu]] na [[mali]] ndani yake. Kisheria matendo ya aina hii dhidi ya [[ndege]], mizigo au maabiria zake huitwa pia uharamia.
 
Kisheria matendo ya aina hii dhidi ya [[Ndege (uanahewa)|ndege]], mizigo au maabiria wake huitwa pia uharamia.
Katika historia maharamia wamejulikana tangu habari za kwanza juu ya usafiri kwenye bahari. Kati ya habari za kwanza ni zile kuhusu maharamia kwenye [[Mediteranea]] mnamo karne ya 13 KK.
 
==Historia==
[[Julius Caesar]] alipokuwa kijana alikamatwa na maharamia akaachichwa nao baada ya malipo ya ufidiwa mkubwa lakini baadaye akarudi akalipiza kisasi na kuwaua maharamia.
Katika historia maharamia wamejulikana tangu habari za kwanza juu ya [[usafiri]] kwenye bahari. Kati ya habari za kwanza ni zile kuhusu maharamia kwenye [[Mediteranea]] mnamo [[karne ya 13 KK]].
 
[[Julius Caesar]] alipokuwa [[kijana]] alikamatwa na maharamia akaachichwaakaachiwa nao baada ya malipo ya ufidiwa[[fidia]] mkubwakubwa, lakini baadaye akarudi akalipiza [[kisasi]] na kuwaua maharamia.
Siku hizi eneo lenye uharamia mbaya ni [[Indonesia]] lakini ni hasa maharamia wa [[Somalia]] walioonekana sana katika habari tangu mwaka 2008.
 
Siku hizi eneo lenye uharamia mbaya ni [[Indonesia]], lakini ni hasa maharamia wa [[Somalia]] walioonekana sana katika habari tangu mwaka [[2008]].
Wakati mwingine maharamia walitawala pia maeneo ya mabandari walipokuwa na kimbilio chao kama [[dola-mji]]. Mfano mashuhuri wa madola haya madogo ilikuwa [[jamhuri ya Bou Regreg]] katika [[Moroko]] ya leo wakati wa karne za 17-19.
 
Wakati mwingine maharamia walitawala pia maeneo ya mabandari[[bandari]] walipokuwa na kimbilio chao kama [[dola-mji]]. Mfano mashuhuri wa madola hayahayo madogo ilikuwa [[jamhuri ya Bou Regreg]] katika [[Moroko]] ya leo wakati wa [[Karne ya 17|karne za 17]]-[[Karne ya 19|19]].
 
[[Jamii:Uharamia]]