Wakfu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:Painting of Ste Genevieve in the Church of Ste Genevieve in Ste Genevieve MO.jpg|thumb|250px|[[Mtakatifu Genevieve]] akiwekwa wakfu na [[askofu]]: [[mchoro]] wa [[mwaka]] [[1821]] ([[Ste. Genevieve, Missouri]]).]]
'''Wakfu''' (kwa [[Kiarabu]] <big>وقف</big>‎‎) inamaanisha hali ya kutengwa na matumizi mengine, hasa kwa ajili ya matumizi ya ki[[dini]] au manufaa kwa umma tu.
 
[[Watu]], [[kitu|vitu]] na [[mahali]] wanaweza kuwekwa wakfu kwa namna mbalimbali.