Wakisi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Wakisi''' ni [[kabila]] la [[Tanzania]] wanaoishi katika [[Mkoa wa Iringa]], [[Wilaya ya Ludewa]]. [[Lugha]] yao ni [[Kikisi]].
 
Jamii hii hujishughulisha na shughuli mbali mbali zikiwemo za [[uvuv]]i, [[ufinyanzi]], [[kilimo]] cha [[muhogo]] pia ni wachezaji wazuri wa [[ngoma]] ya [[Mganda]], [[Kihoda]] na [[Ligambusi]]lakini wakisi pia asili yao ni wangoni kwakua wanautamaduni mmoja na wangoni lakini walienenea maeneo hayo mbalimbali kutikana na misafara ya wangoni kutoka afrika kusini wengine wakatawanyika na kujikuta wako huko.
{{mbegu-utamaduni-TZ}}
{{DEFAULTSORT:Kisi}}