Frances Goodrich : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'right|thumb|Frances Goodrich na Albert Hackett '''Frances Maurice Goodrich''' (21 Desemba 189029 Januari...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 20:40, 27 Januari 2017

Frances Maurice Goodrich (21 Desemba 189029 Januari 1984) alikuwa mwandishi wa kike kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1956, pamoja na mume wake Albert Hackett, Goodrich alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Tamthiliya kwa tamthiliya yao The Diary of Anne Frank.

Faili:Hackett and Goodrich.jpg
Frances Goodrich na Albert Hackett
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Frances Goodrich kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.