Wakisi : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 1:
'''Wakisi''' ni [[kabila]] la [[Tanzania]] wanaoishi katika [[Mkoa wa
[[Lugha]] yao ni [[Kikisi]].
Jamii hii hujishughulisha na shughuli mbalimbali zikiwemo za [[uvuvi]], [[ufinyanzi]], [[kilimo]] cha [[muhogo]].
Pia ni wachezaji wazuri wa [[ngoma]] ya [[Mganda]], [[Kihoda]] na [[Ligambusi]].
Kwa asili ni Wangoni kwa kuwa wana [[utamaduni]] mmoja na Wangoni, lakini walienenea maeneo hayo mbalimbali kutokana na misafara ya wangoni kutoka [[Afrika Kusini]]: wengine wakatawanyika na kujikuta wako huko.
{{mbegu-utamaduni-TZ}}
{{DEFAULTSORT:Kisi}}
[[Jamii:Makabila ya Tanzania]]
[[Jamii:Mkoa wa Njombe]]
|