Bratislava : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Bratislava Panorama R01.jpg|thumb|left|200px|[[Mandhari]] ya Bratislava]]
[[Picha:Flag of Bratislava.png|thumb|[[Bendera]] ya Bratislava]]
[[Picha:Map slovakia bratislava.png|thumb|200px|Mahali pa Bratislava nchini Slovakia]]
'''Bratislava''' ni [[mji mkuu]] wa [[Slovakia]] mwenyewenye wakazi 450,000. Majina mengine ya kihistoria ya mji huu ilikuwayalikuwa Pressburg (kwa [[Kijerumani]]) au Pozsony (kwa [[Kihungaria]]). IkoUko kando laYa [[mto Danubi]].
 
[[Ishara]] ya mji ni [[boma]] la Bratislava lililosimama tangu [[karne za kati]].
 
== Jiografia ==
Bratislava iko kwenye mpaka wa [[kusini]]-[[magharibi]] ya Slovakia karibu na [[Austria]] na [[Hungaria]], si mbali na mpaka wa [[Ucheki]].
[[Picha:Hlavné námestie-The napoleonic soldier, Old Town Hall and Roland Fountain-Bratislava.JPG|thumb|right|250px|Uwanja Kuu re in the Old TownMkuu.]]
== Historia ==
Eneo la [[mji]] lilikaliwa tangu [[milenia]] nyingi. [[Kiini]] cha mji wa leo kilikuwa [[boma]] la Bratislava lililojulikana tangu mwaka [[805]] [[BK]].
 
[[Utawala]] wa eneo la mji ulibadilika mara kadhaa, lakini tangu mwaka [[907]] mji ulikuwa sehemu ya [[ufalme]] wa Hungaria hadi mwaka [[1918]]. Kati ya miaka [[1524]] hadina [[1830]] ulikuwa mji mkuu wa Hungaria. Wakazi wake walikuwa hasa Wajerumani na Wahungaria pamoja na Waslovakia.
 
Baada ya [[Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia]] eneo la mji liliingizwa katika nchi mpya ya [[Chekoslovakia]], na jina likabadilishwa kuwa Bratislava. Mji ukawa mji mkuu wa sehemu ya Kislovakia ya nchi.
 
Wakati wa [[Vita Kuu ya Pili ya Dunia]], na tena baada ya kuachanakugawanyika kwa Chekoslovakia mwaka 1993 Bratislava imekuwa mji mkuu wa Slovakia.
 
[[Picha:Einsteinova.jpg|thumb|right|250px|[[Barabara]] kuu ya kitaifa D1 kando laya Bratislava]]
== Biashara ==
Bratislava ni mji wa [[viwanda]]: kuna viwanda vya [[motokaa]], [[kemia]], [[mashine]] na vifaa vya [[stima]].
 
== Usafiri ==
Mji ni njiapanda ya barabara kuu, pia ya [[reli]]. [[Usafiri]] kwawa maji[[Maji|majini]] hutumia [[bandari]] ya Bratislava kwenye mto Danubi. Kuna pia [[Uwanja wa Ndegendege]] wa kimataifa.
 
Usafiri wa mjini ni kwa [[basi|mabasi]], [[reli]] za barabarani na mabasi ya [[umeme]].
== Picha za Bratislava ==
<gallery>
Mstari 33:
Image:Bratislava-Dom-sv-Martina.jpg|Kanisa la Mt. Martino
</gallery>
== ExternalViungo linksvya nje ==
{{Commonscat|Bratislava}}
* [http://www.bratislava.sk/en/ Official site]