Wakfu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:Painting of Ste Genevieve in the Church of Ste Genevieve in Ste Genevieve MO.jpg|thumb|250px|[[Mtakatifu Genevieve]] akiwekwa wakfu na [[askofu]]: [[mchoro]] wa [[mwaka]] [[1821]] ([[Ste. Genevieve, Missouri]]).]]
'''Wakfu''' (kwa [[Kiarabu]] <big>وقف</big>‎‎) inamaanisha hali ya kutengwa na matumizi mengine, hasa kwa ajili ya matumizi ya ki[[dini]] au manufaa kwa [[umma]] tu.
 
[[Watu]], [[kitu|vitu]] na [[mahali]] wanaweza kuwekwa wakfu kwa namna mbalimbali.
 
==Maana ya Kisheria==
Kwa maana ya kisheria wakfu (kwa [[Kiingereza]] ''foundation'' au ''charitable trust'') ni taasisi au shirika lililopokea [[mali]] au [[pesa]] kwa matumizi ya manufaa kwa umma.
Kwa maana ya kisheria wakfu (ing. foundation au charitable trust) ni taasisi au shirika lililopokea mali au pesa kwa matumizi ya manufaa kwa umma. Sheria za Kenya<ref>[http://kenyanlawyer.blogspot.de/2010/11/establishment-of-charitable-foundation.html Establishment of charitable foundation], fungu '(B) ADVICE ON INCORPORATION OF A FOUNDATION UNDER THE TRUSTEES (PERPETUAL SUCCESSION) ACT</ref> zinaruhusu mali kuwekwa wakfu kwa ajili ya manufaa za dini, elimu, utamaduni, sayansi, jamii, michezo au usaidizi wa watu maskini<ref>"for any religious, educational, literary, scientific, social, athletic or charitable purpose", ( (Trustees Act Cap. 164 Section 3(1), Kenyanlawyer.blogspot,angalia juu)</ref>.
 
Kwa maana ya kisheria wakfu (ing. foundation au charitable trust) ni taasisi au shirika lililopokea mali au pesa kwa matumizi ya manufaa kwa umma. Sheria za [[Kenya]]<ref>[http://kenyanlawyer.blogspot.de/2010/11/establishment-of-charitable-foundation.html Establishment of charitable foundation], fungu '(B) ADVICE ON INCORPORATION OF A FOUNDATION UNDER THE TRUSTEES (PERPETUAL SUCCESSION) ACT</ref> zinaruhusu mali kuwekwa wakfu kwa ajilimanufaa ya manufaa za dini, [[elimu]], [[utamaduni]], [[sayansi]], [[jamii]], [[michezo]] au usaidizi wa watu [[maskini]]<ref>"for any religious, educational, literary, scientific, social, athletic or charitable purpose", ( (Trustees Act Cap. 164 Section 3(1), Kenyanlawyer.blogspot,angalia juu)</ref>.
Mali ya taasisi ya aina iko mkononi mwa wadhamini (ing. trustees) wenye wajibu wa kutunza mali ya wakfu kwa madhumuni yaliyoelezwa katika hati ya taasisi na kuandikishwa katika ofisi ya serikali.
 
Mali ya taasisi ya aina ikohiyo mkononiimo [[Mikono|mikononi]] mwa wadhamini (ing. trustees) wenye [[wajibu]] wa kutunza mali ya wakfu kwa madhumuni yaliyoelezwa katika hati ya taasisi na kuandikishwa katika [[ofisi]] ya [[serikali]].
Kimsingi taasisi ya wakfu ilipokea mali ambayo ni msingi wa kazi yake, kwa mfano ardhi, majengo, hisa au pesa. Kuna pia mifano ya taasisi za wakfu zisizo na rasilmali zikitafuta zaidi michango ya wafadhili kwa ajili ya kazi yao kulingana na madhumuni. <ref>[https://www.die-gdi.de/uploads/media/Studies_69.pdf Private Foundations and Development Cooperation, Insights from Tanzania], Erik Lundsgaarde na wengine, German Development Institute , Bonn 2012, ukurasa 48-49 hasa</ref>
 
Kimsingi taasisi ya wakfu ilipokea mali ambayo ni msingi wa [[kazi]] yake, kwa mfano [[ardhi]], [[Jengo|majengo]], [[hisa]] au pesa. Kuna pia mifano ya taasisi za wakfu zisizo na rasilmali zikitafuta zaidi michango ya wafadhili kwa ajili ya kazi yao kulingana na madhumuni. <ref>[https://www.die-gdi.de/uploads/media/Studies_69.pdf Private Foundations and Development Cooperation, Insights from Tanzania], Erik Lundsgaarde na wengine, German Development Institute , Bonn 2012, ukurasa 48-49 hasa</ref>
==Uislamu==
Katika [[Uislamu]] wakfu ni [[mali]] iliyotengwa kwa kusudi la kidini. Mifano ya wakfu ni kutoa [[kiwanja]] kwa kujenga [[msikiti]], [[shamba]] au [[nyumba]] ikiwa mapato yake yatagharamia misikiti, [[madrasa]], [[hospitali]], watu [[maskini]] au [[wanafunzi]], au pia kutoa [[pesa]] kwa makusudi haya.
 
==Ukristo==
Line 18 ⟶ 17:
 
Vitu na mahali vinaweza kuwekwa wakfu hasa kwa ajili ya [[ibada]], k.mf. [[vyombo vya ibada]], [[mavazi ya ibada]] na [[kanisa]].
 
==Uislamu==
Katika [[Uislamu]] wakfu ni [[mali]] iliyotengwa kwa kusudi la kidini. Mifano ya wakfu ni kutoa [[kiwanja]] kwa kujenga [[msikiti]], [[shamba]] au [[nyumba]] ikiwa mapato yake yatagharamia misikiti, [[madrasa]], [[hospitali]], watu [[maskini]] au [[wanafunzi]], au pia kutoa [[pesa]] kwa makusudi haya.
 
==Tanbihi==
Line 30 ⟶ 32:
*[http://www.goarch.org/en/ourfaith/articles/article8420.asp The Sanctification of Holy Chrism]
 
{{mbegu-dinisheria}}
 
[[Jamii:Dini]]
Line 36 ⟶ 38:
[[Jamii:Uislamu]]
[[Jamii:Mashirika ya kitawa]]
[[Jamii:Sheria]]