Tau : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '{{Alfabeti ya Kigiriki kamili|herufi=Zeta uc lc}} '''Tau''' ( Τ τ) ni herufi ya 19 katika Alfabeti ya Kigiriki. Inaandikwa kama''' τ''' (alama ya kawaida...'
 
No edit summary
 
Mstari 1:
{{Alfabeti ya Kigiriki kamili|herufi=ZetaTau uc lc}}
'''Tau''' ( Τ τ) ni [[herufi]] ya 19 katika [[Alfabeti ya Kigiriki]]. Inaandikwa kama ''' τ''' (alama ya kawaida) au '''Τ''' (alama kubwa). Zamani za [[Kigiriki cha Kale]] ilikuwa pia [[tarakimu]] ikiwa alama kwaya [[namba]] 300.
 
Asili ya tau ni herufi ya [[kifinisiaKifinisia]] ya "taw" [[Image:Phoenician taw.svg|20px]] (𐤕). Herufi zilizotokana nayo katika [[alfabeti]] zilizofuata [[Kigiriki]] ni [[T]] katika [[alfabeti ya Kilatini]] na Te (Т, т) katika [[alfabeti ya Kikirili]].
 
Matamshi yake ilikuwa "t".
 
Jinsi ilivyo kawaida nakwa herufi mbalimbali za kigirikiKigiriki, τ inatumiwa kama kifupikifupisho kwa ajili ya [[dhana]] mbalimbali katika [[hisabati]] na [[fizikia]].
 
[[Jamii:Alfabeti ya Kigiriki]]