Alfabeti ya Kigiriki : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
isiyo na kiasi
No edit summary
Mstari 1:
{{Alfabeti ya Kigiriki kamili}}
'''Alfabeti ya Kigiriki''' ni [[mwandiko]] maalumu wa [[lugha]] ya [[Kigiriki]]. [[Herufi]] zake hutumiwazilitumika pia kama [[tarakimu]] na sasa hutumiwa kimataifa kama [[alama]] za [[sayansi|kisayansi]].
 
==Historia==
[[Alfabeti]] ya Kigiriki ilianzishwa wakati wa [[ustaarabu]] wa [[Ugiriki wa Kale]] na imeendelea kutumiwa hadi katika [[Ugiriki]] ya leo.
 
Ni alfabeti [[alfabetimama]] mama ya lugha za [[Ulaya]], kwa sababu ni asili ya [[Alfabeti ya Kilatini]] ambayo ni mwandiko unaotumiwa zaidileo [[duniani]] kushinda miandiko mingine. Ni pia asili ya alfabeti za [[Kikyrili]] na [[Kikopti]]. Kuna miandiko mingine ya [[Historia|kihistoria]] iliyotokana na Kigiriki.
 
Asili ya mwandiko huo ulikuwa alfabeti ya [[Kifinisia]]. Tofauti kubwa ni alama za [[vokali]] na baadaye badiliko la mwendo wa mwandiko kutoka kushoto kwenda kulia, tofauti na Kifinisia iliyoandikwa kutoka kulia kwenda kushoto jinsi ilivyo hadi sasa katika mwandiko wa [[Kiarabu]] na wa [[Kiebrania]] ambazo ni [[lugha za Kisemiti]] jinsi ilivyokuwa Kifinisia.
Mstari 11:
Sehemu ya herufi zilizopokewa kutoka Kifinisia ziliachwa baadaye kwa sababu lugha haikuwa na [[sauti]] za kulingana nazo. Tangu [[mwaka]] [[300 KK]] sehemu ya juu ya alfabeti inayoonyeshwa kwenye sanduku ilikuwa herufi za kawaida na alama za chini hazikutumiwa isipokuwa kama alama za [[namba]].
 
Katika [[historia]] ndefu ya alfabeti hii [[matamshi]] ya alama yamebadilika pamoja na mabadiliko ya lugha yenyewe. [[Mwanafunzi]] wa [[Kigiriki cha Kale]] anayesoma maandiko ya [[Plato]] au [[vitabu]] vya [[Agano Jipya]] katika lugha asilia ataona matatizoshida akifika Ugiriki na kuwasikia Wagiriki wa leo: hata kama anaweza kusoma maandishi yote, hataelewa mengi.
 
== Matumizi ya namba ==
Kila herufi ilikuwa pia na matumizi kama [[tarakimu]] ya [[namba]] kwa sababu Wagiriki wa Kale hawakuwa na alama za pekee za namba. Herufi [[tatu]] za kihistoria ambazo hazikutumiwa tena kwa maandishi ziliendelea kama alama za namba, yaani Wau au Stigma = 6 (alama ς), Heta = 8, San, Sho au Koppa = 90 (alama ϙ au ϟ) na Sampi = 900 (alama ͳ au ϡ au kama kwenye sanduku).
 
Kwa kutofautisha herufi na namba alama yake ilipewa mstari mdogo juu yake kama αʹ = 1, βʹ = 2, γʹ = 3. Kwa namba kuanzia 1,000 mstari upande wa kushoto uliongezwa, kwa mfano ͵α = 1,000, ͵β = 2000, ͵βηʹ = 2008.
 
== Matumizi ya Kisayansi ==
Herufi za Kigriki zinatumiwa sana katika [[hesabu]] na sayansi. Mifano inayojulikana zaidi ni matumizi ya '''α''', ''' β''' na '''γ''' kama [[Jina|majina]] ya [[pembe]] za [[pembetatu]].
 
Katika mahesabu ya [[duara]] namba '''[[pi|π]] (pi)''' ni muhimu sana.
Mstari 37:
 
{{mbegu-lugha}}
<!-- interwiki -->
 
[[Jamii:Mwandiko|G]]
[[Jamii:Ugiriki waya Kale]]
[[Jamii:Lugha]]
[[Jamii:Alfabeti ya Kigiriki| ]]