Dzeta : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 71 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q14394 (translate me)
No edit summary
 
Mstari 1:
{{Alfabeti ya Kigiriki kamili|herufi=Zeta uc lc}}
'''Dzeta''' (pia: '''Zeta''') ni [[herufi]] ya [[sita]] katika [[Alfabeti ya Kigiriki]]. Inaandikwa kama ''' ζ''' (alama ya kawaida) au '''Ζ''' (alama kubwa). Zamani za [[Kigiriki cha Kale]] ilikuwa pia [[tarakimu]], ikiwa alama kwaya [[namba]] 7.
 
Asili ya dzeta ni herufi ya [[kifinisiaKifinisia]] ya zayin (tazama makala ya herufi [[Z]]). Matamshi yake ilikuwayalikuwa "dz", katika [[Kigiriki]] cha kisasa ni zaidi kama Z ya [[Kiswahili]]. Kutokana na herufi hiyo, [[alfabeti ya Kilatini]] ina "Z" na [[alfabeti ya Kikirili]] ina "З".
 
Jinsi ilivyo kawaida nakwa herufi mbalimbali za kigirikiKigiriki ζ inatumiwa kama kifupikifupisho kwa ajili ya [[dhana]] mbalimbali katika [[hisabati]] na [[fizikia]].
 
[[Jamii:Alfabeti ya Kigiriki]]