Eta : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 72 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q14396 (translate me)
No edit summary
 
Mstari 1:
{{Alfabeti ya Kigiriki kamili|herufi=Eta uc lc}}
'''Eta''' ni [[herufi]] ya [[saba]] katika [[Alfabeti ya Kigiriki]]. Inaandikwa kama '''η''' (alama ya kawaida) au '''Η''' (alama kubwa). Zamani za [[Kigiriki]] cha Kale ilikuwa pia [[tarakimu]], ikiwa alama kwaya [[namba]] 8.
 
Asili ya Eta ni herufi ya kifinisia[[Kifinisia]] ya kheta (tazama makala ya [[H]]). [[Matamshi]] yake ya awali ilikuwayalikuwa "h" na kwa maana hiyo alama iliingia katika [[alfabeti waya Kietruski]] na [[Alfabeti ya Kilatini|ya Kilatini]]. Ndani ya Kigiriki chenyewe [[sauti]] ya "h" ilipotea kwa muda na alama ilibaki kama "eta" ikimaanisha sauti ya aina ya "e".
 
Jinsi ilivyo kawaida nakwa herufi mbalimbali za kigirikiKigiriki, eta inatumiwa kama kifupikifupisho kwa ajili ya [[dhana]] mbalimbali katika [[hesabu]] na [[fizikia]].
 
Katika fizikia eta ni alama kwa [[mesoni]] ambayo ni kipande kidogo cha kujengea [[atomi]].
 
[[Jamii:Alfabeti ya Kigiriki]]