Tofauti kati ya marekesbisho "Kappa"

71 bytes added ,  miaka 4 iliyopita
no edit summary
(Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '{{Alfabeti ya Kigiriki kamili|herufi=kappa uc lc}} '''Kappa''' ni herufi ya kumi katika Alfabeti ya Kigiriki. Umbo la kappa kubwa na ndogo limeendelea v...')
 
 
{{Alfabeti ya Kigiriki kamili|herufi=kappa uc lc}}
'''Kappa''' ni [[herufi]] ya [[kumi]] katika [[Alfabeti ya Kigiriki]]. [[Umbo]] la kappa kubwa na ndogo limeendelea vilevile katika [[alfabeti ya Kilatini]] na hivyo hutumiwa vile hadi leo katika [[lugha]] zote zinazotumia mwandishimwandiko huo kama vile [[Kiswahili]], kiingereza[[Kiingereza]] na kadhalika. matamshiMatamshi yake ni "K", sawa na Kiswahili.
 
Kwa matumizi ya [[tarakimu]] inamaanisha [[namba]] 20.
 
Kama neno lenye asili ya [[Kigiriki]] kimepokelewalimepokelewa katika lugha ya Kiingereza mara nyingi herufi "C" imechukua nafasi ya "K". Sababu yake ni ya kwamba [[Waroma wa Kale|Waroma]] waliandika "k" mara nyingi kama "c" katika [[Kilatini]] maana hawakutofautisha herufi hizi mbili.
 
==Matumizi ya kisayansi==
Jinsi ilivyo kawaida nakwa herufi mbalimbali za kigirikiKigiriki, kappa inatumiwa kama kifupikifupisho kwa ajili ya [[dhana]] mbalimbali katika [[hesabu]] na [[sayansi]].
 
==Marejeo==