Cecil Rhodes : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 60 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q19825 (translate me)
No edit summary
 
Mstari 10:
Athira yake ya kisiasa ikapanuka 1885 akashawishi serikali ya London kuvamia eneo la Bechuanaland (Botswana) na kuifanya nchi lindwa chini ya Uingereza.
 
1885 alifaulu kupata kibali cha serikaliyserikali aya Uingereza kuanzisha koloni ya binafsi kaskazini ya Afrika kusini. Akaunda Kampuni ya Kiingereza ya Afrika Kusini (British South Africa Company) na kuvamia maeneo ya Zambia na Zimbabwe ya leo. Ardhi iliyotwaliwa iliuzwa kwa walowezi na koloni za kampuni ziliitwa [[Rhodesia ya Kaskazini]] na [[Rhodesia ya Kusini]]. Zilikaa chini ya kampuni ya Rhodes hadi 1923 zikachukuliwa baadaye na serikali ya Uingereza.
 
1890 Rhodes akawa waziri mkuu wa [[koloni ya Rasi]]. Kama kiongozi wa serikali alitaka kumeza jamhuri ya makaburu ya [[Transvaal]] na akajaribu kumpindua raisi Ohm Krueger 1895. Shambulio ya Jameson Raid ilishindikana na Rhodes alipaswa kujiuzulu katika serikali.