Mdudu Siku-moja : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Pendekezo jina
Maana ya jina la sayansi
 
Mstari 13:
| nusungeli = [[Pterygota]] <small>(Wadudu wenye mabawa)</small>
| bingwa_wa_nusungeli = [[Lang]], 18888
| oda = [[Mdudu Siku-moja|Ephemeroptera]]
| bingwa_wa_oda = Hyatt & Arms, 1891
| subdivision = '''Nusuoda 3''':
Mstari 20:
* [[Pisciformia]]
}}
'''Wadudu siku-moja''' ni [[wadudu]] wa [[oda]] [[Ephemeroptera]] (ephemeros = -a muda mfupi, ptera = [[bawa|mabawa]]) katika [[nusungeli]] [[Pterygota]] (wenye mabawa). [[Wadudu]] hawa huishi majini baridi katika muundo wa [[nayadi]] ([[lava]] ya wadudu wa maji) kwa muda wa [[mwaka]] mmoja, halafu hutoka kwenye maji na kuambua mara mbili na kuwa mdudu aliyekomaa wenye [[bawa|mabawa]]. Licha ya jina lao wadudu waliokomaa huishi muda wa nusu saa hadi siku kadhaa. Wanajamiiana tu na kutaga [[yai|mayai]]; hawali na kwa hiyo wana alama za vipande vya [[mdomo]] tu na [[utumbo]] umejaa na hewa. Kinyume na wadudu waliokomaa nayadi hula [[kiani|viani]] na [[diatomea]], na spishi kadhaa hula lava za wadudu wengine wa maji.
 
==Picha==