Mkoa wa Mbeya : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
wilaya mpya
Mstari 41:
'''Mkoa wa [[Mbeya (mji)|Mbeya]]''' ni kati ya [[Mikoa|mikoa]] 31 ya [[Tanzania]] ikipakana na [[Zambia]] na [[Malawi]], halafu na mikoa ya [[Mkoa wa Rukwa|Rukwa]], [[Mkoa wa Tabora|Tabora]], [[Mkoa wa Singida|Singida]] na [[Mkoa wa Iringa|Iringa]], mbali na [[mkoa wa Songwe|mkoa mpya wa Songwe]] uliomegwa kutoka ule wa Mbeya mwaka [[2016]].
 
Kabla ya hapokugawiwa kulikuwa na wilaya 10 zifuatazo: [[Mbeya Mjini]], [[Mbeya Vijijini]], [[Rungwe]], [[Kyela]], [[Ileje]], [[Mbozi]], [[Chunya (wilaya)|Chunya]], [[wilaya ya Momba|Momba]] na [[Mbarali]].
 
Tangu 2016 mkoa huwa na wilaya za [[Wilaya ya Busekelo|Busekelo]], [[Wilaya ya Chunya|Chunya]], [[Wilaya ya Kyela|Kyela]], [[Wilaya ya Mbarali|Mbarali]], [[Mbeya (mji)|Mbeya Mjini]], [[Wilaya ya Mbeya Vijijini|Mbeya Vijijii]] na [[Wilaya ya Rungwe|Rungwe]].
 
Mbeya ni kati ya maeneo yanayopendeza kabisa ndani ya Tanzania ikiwa na sehemu za [[Ziwa la Nyasa]], [[Ziwa Rukwa]], M[[milima ya Mbeya|lima ya Mbeya]], M[[Rungwe (mlima)|lima ya Rungwe]], Uwanda wa juu wa Uporoto, Uwanda wa Usangu ingawa haukufikiwa bado na utalii.