Nzi-gome : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Sahihisho
Maana ya jina la kisayansi
Mstari 17:
* [[Trogiomorpha]]
}}
'''Nzi-gome''' (kutoka [[Kiing.]]: [[w:Psocoptera|barkfly]]) ni [[wadudu]] wadogo (mm 1-10) wa [[oda]] [[Psocoptera]] (psokhos = iliyotafunwa, ptera = [[bawa|mabawa]]) katika [[nusungeli]] [[Pterygota]] (wenye [[bawa|mabawa]]). [[Spishi]] zinazoishi ndani ya majengo huitwa [[chawa-vitabu]]. Zamani spishi fulani za [[nusuoda]] [[Troctomorpha]] ziligeuka katika [[chawa]]. Kwa hivyo siku hizi wataalamu wanaweka nzi-gome na chawa katika [[oda ya juu]] [[Psocodea]].
 
Wadudu hawa wana mwili kwa muundo wa msingi. Paji ya kichwa imefura, [[jicho|macho]] ni makubwa kwa kulinganisha na wana [[oseli]] tatu. [[Mandibuli]] ni kwa kutafuna na ndewe ya kati ya [[maxila]] imegeuka katika kifito ambacho kinakaza mdudu akiparua mboji. Wakiwa na mabawa, haya huwekwa kama hema. Pengine urefu wa yale ya mbele ni 50% zaidi ya yale ya nyuyma.