Afrika ya Mashariki ya Kijerumani : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
eneo na mipaka
Mstari 13:
| Eneo || 995.000 km²
|----
| Wakazi || 7.700665.000234 (1-1-1913)
|----
| Wakazi Wajerumani || 4100 (1913)
Mstari 27:
Eneo lake lilijumlisha nchi za kisasa za [[Tanzania]] bara (bila [[Zanzibar]]), [[Burundi]] na [[Rwanda]]. Ilikuwa koloni kubwa kabisa la [[Dola la Ujerumani]].
 
==Eneo, mipaka na wakazi==
===Eneo na mipaka===
Eneo la koloni lilikuwa na kilomita za mraba 997,000 pamoja na sehemu za maziwa makubwa kama Ziwa Tanganyika na Ziwa Viktoria. Eneo hili lilikwa karibu mara mbili eneo la Ujerumani mweyewe jinsi ilivyokuwa kabla ya 1914. Mipaka iliamuliwa katika mapatano na [[Uingereza]], [[Ubelgiji]] na [[Ureno]] zilizotawala koloni za jirani za [[Afrika ya Mashariki ya Kiingereza]] (Kenya na Uganda), [[Kongo ya Kibelgiji]], [[Rhodesia]], [[Nyasaland]] na [[Msumbiji]]. Upande wa Kenya mstari ulichorwa kuanzia Bahari Hindi kwa mdomo wa [[mto Umba]] hadi [[Ziwa Jipe]], halafu kufuata mitelemko ya kaskazini za [[mlima Kilimanjaro]] na kutoka hapa hadi [[Ziwa Viktoria]]. Mipaka na Uganda ilifuata [[latitudo]] ya kwanza ya kusini ya [[ikweta]] hadi mpaka na Kongo. Upande wa Kongo mpaka ulifuata sehemu za chini za bonde la Ufa na katikati ya maziwa kama Kivu na Tanganyika.
 
Upande wa kusini ulifuata mstari kati ya ncha ya kusni ya ziwa tanganyika hadi mdomo wa [[Mto Songwe]] katika [[Ziwa Nyasa]]. Eneo lote la ziwa lenyewe lilibaki upande wa Nyasaland ya Kiingereza, halafu mstari kutoka Ziwa Nyasa kwa kufuata mto Rovuma hadi Rasi ya Delgado kwenye Bahari Hindi.
 
Jinsi ilivyo na mipaka ya kikoloni mistari hii ilikata mara nyingi maeneo ya jumuiya za wenyeji.
 
===Wakazi===
Mwaka 1913 takwimu ya Wajerumani ilihesabu wakazi Waafrika 7,645,000, Waasia (Wahindi na Warabu) 14,898 na Wazungu 5,336, kati yao Wajerumani 4,107. Nusu ya wakazi wote waliishi katika eneo la maziwa makubwa ambako serikali ya kikoloni iliacha maeneo ya Rwanda (wakazi 2,000,000), Burundi (1,500,000) na Bukoba (275,000) kama [[maeneo lindwa]] chini ya watawala wa kienyeji waliosimamiwa na afisa mkazi Mjerumani.<ref>[[Kamusi ya Koloni za Kijerumani]], makala "Deutsch-Ostafrika", fungu 9. Bevölkerungsstatistik.</ref>
 
 
== Chanzo cha koloni ==
Line 35 ⟶ 47:
 
Mwenyewe aliamini mwanzoni ya kwamba itatosha kuwapa wafanyabiashara [[ulinzi]] kwa shughuli zao kwa kuwaruhusu matumizi ya [[bendera]] ya Ujerumani na kuwa na [[askari]] wao wa ulinzi kama wamepatana na viongozi wazalendo katika eneo fulani kuanzisha shughuli huko. Kwa njia hii alifungua [[mlango]] kwa [[harakati]] iliyoendelea kuwa mchango wa Ujerumani katika [[mbio]] wa kugawa [[dunia]], hasa [[Afrika]].
 
== Juhudi za Karl Peters ==
[[Picha:Petersland east africa 1885.png|thumb|250px|Maeneo ya kwanza yaliyotwaliwa na Karl Peters]]