Wambunga : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 2 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q3892259 (translate me)
No edit summary
Mstari 1:
'''Maandishi ya kooze'''''Maandishi ya italiki'''''Wambunga''' ni kabila la [[Tanzania]] wanaoishi upande wa Kaskazini wa [[Wapogolo]]. Lugha yao ni [[Kimbunga (lugha)|Kimbunga]].
 
{{mbegu-utamaduni-TZ}}
Mstari 6:
 
[[Jamii:Makabila ya Tanzania]]
Kabila la wambunga ni kabila dogo lililotokana na kabila la wangoni kundi hilo dogo lilitokea baada ya mfarakano wa viongozi wa makundi ya wangoni walioingia katika Tanganyika hivyo basi wambuna ni wangoni maseko(mafiti) walioingia Tanganyika kupitia kusini mashariki mwa Ruvuma wakiongozwa na kiongozi wa wangoni maseko MPUTA,baada ya kutoalewana miongoni mwa makundi ya wangoni kukapelekea chuki iliyosababisha viongozi wa makundi hayo kuuana wenyewe kwa wenyewe.hivyo mputa akauwawa na mwanae Malunda akawa mtawala wa kundi hilo lakini baadae malunda akawa na wasiwasi wa maisha yake kutokana na hali hiyo hivyo akaamua kurudi na kundi la wangoni maseko zimbabwe walikotoka awali lakini katika hilo baadhi yao waligoma kurudi zimbabwe ndipo baada ya malunda kuondoka waliobaki wakahama pale songea na kusogea mlima mbunga uliopo pembezoni mwa mkoa wa Ruvuma,baadae walipoona makundi ya wangoni wakiendelea na kupigana wao kwa wao wakaamua kuondoka hapo mlima mbuga na kuambaambaa ulanga mkoani morogoro hasa kwenye bonde la mto kilombero lakini wakijulikana kwa matamshi yao kuwa ni wangoni lakini wao wakijiita ni wambuga kwani wametoka mlima mbunga hiyo ilitokana na kuchoshwa na vita maana wote waliwatambua wangoni kwa kupenda vita hivyo kwa kusema hivyo wangebaki salama na wenyeji wao wasiwazuru maana wakati huo wangoni walishaanza uchokozi wa kivita na Muyugumba kiongozi wa wahehe