Kiarabu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
kusanifisha kidogo mwanzo wa makala
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Arabic_Text.png|thumbnail|200px|"al-`arabiyya" - "Kiarabu"]]
'''Kiarabu''' (''ar.: العَرَبِيَّة‎‎, ''al-ʻarabiyyah, kwa kirefu'' al-luġatu al-ʿarabiyya'' ) ni [[lugha ya Kisemiti]] inayojadiliwainayotumiwa na watu [[milioni]] 206 kama [[lugha ya kwanza]]<ref>https://www.ethnologue.com/language/arb Arabic, Standard kwenye tovuti ya ethnologue</ref> na milioni 246 wa ziada kama [[lugha ya pili]]. Ilhali kuna [[lahaja]] nyingi, Kiarabu sanifu (ar. الفصحى ''fuṣḥā'') ni [[lugha rasmi]] ya nchi 22 za [[Jumuiya ya Nchi za Kiarabu]] na ya [[Mkutano wa Kilele wa Kiislamu]] na mojawapo ya lugha rasmi katikaza [[Umoja wa Mataifa]]. Kuna pia matumizi kama [[lugha ya kidini]] katika [[Uislamu]]. na hivyo

Hivyo Kiarabu ni mojawapo ya [[lugha]] muhimu sana [[duniani]] ikijifunzwaikisomwa kwa viwango tofauti na mamilinimamilioni ya waumini waislamuWaislamu wakielekea kusomakujifunza na kuelewa kitabu cha [[Korani]]. Kama lugha ya kidini ina athari na taathira kubwa juu ya lugha nyingi ulimwenguni na juu ya [[ustaarabu]] na [[utamaduni]] wa watu na [[Kabila|makabila]] tofautitofauti duniani waliokuwawalio Waislamu.
 
Kiarabu kwa kawaida huandikwa kwa [[herufi za Kiarabu]].
 
LughaNi hii, ambayo leo imekubaliwa kama mojawapo ya [[lugha rasmi]] zayenye [[Umoja wa Mataifautajiri]], Jumuiya ya Nchi za Kiarabu, na [[Mkutano wa Kilele wa Kiislamu]], ni lugha yenye utajiri mkubwa wa [[msamiati|misamiati]] (maneno), na ufasihi[[ufasaha]] mkubwa wa misemo na udhibiti mkubwa wa [[sarufi]] na [[nahau]].
 
Ni lugha iliyokusanya aina nyingi za [[mithali]] na ma[[fumbo]], na ina utamaduni mkubwa wa [[wimbo|nyimbo]], ma[[shairi]] na misemo, nayo inakubaliwa na watu wengi duniani kuwa lugha yenye [[utamu]] wa [[matamshi]] na [[uzuri]] wa [[lafudhi]].
 
Kwa kuwa [[Qurani Tukufu]] na [[Hadithi za Mtume Muhammad]] na Mashairi ya zama za [[Ujahili]] ndio yenye kudhibiti lugha hii isitetelekeisitetereke nawala kubadilika na kupotea kama nyingi katika lugha zanyingine ulimwengunyingi, leo, baada ya miaka zaidi ya [[elfu]], imebakiaimebaki thabiti kama ilivyokuwa wakati ilipoandikwa Qurani, na mabadiliko yoyote yaliyotokea hayana uhusiano na lugha yenyewe ya Kiarabu, bali yana uhusiano na [[lahaja]] na vilugha mbalimbali zinazotumika na Waarabu wa sehemu fulani ya nchi au [[mji]]. Ama lugha rasmi ya Kiarabu basi imedhibitika kulingana na Qurani na [[Sunnah]], ili [[maandishi]] hayahayo yaendelee kufahamika [[milele]].
 
Leo, Kiarabu kinazungumzwa na watu zaidi ya [[milioni]] 200 kama [[Lugha ya kwanza|lugha yao ya kwanza]], na ni lugha ya [[sita]] ulimwenguni kwa wingi wa wanayoitumia kila siku katika [[maisha]] yao, baada ya [[Kichina]], [[Kihindi]], [[Kihispania]], [[Kiingereza]] na [[Kibengali]].
 
Umuhimu wa lugha hii unazidi kukua kila siku kwa sababu ya kutumika kwenye maeneo ya katikati ya ulimwengu baina ya [[Bara|mabara]] ya kale ([[Afrika]], [[Asia]] na [[Ulaya]]) na mabara mapya ya ulimwengu ([[Amerika ya Kaskazini]] na [[Amerika ya Kusini|Kusini]]).