Mhusika (fasihi) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Tags: Mobile edit Mobile web edit
Mstari 1:
'''Wahusika''' katika [[fasihi simulizi]] ni [[viumbe hai]] au wasiokuwa na [[uhai]], wanaochorwa na [[msanii]] wa kazi ya [[fasihi]] kwa ajili ya kufikisha [[ujumbe]] kwa hadhira.
 
Mfano wa wahusika hao ni [[binadamu]], [[wanyama]], [[miti]], [[jiwe|mawe]], [[pango|mapango]] n.k.
 
Aghalabu wahusika wa fasihi simulizi ni wengi kwani wanahusisha viumbe wote, wenye uhai na wasiokuwa na uhai.
Mstari 7:
{{mbegu-lugha}}
 
[[Jamii:Fasihi]]
By Titus Karunguru Murithi.