Hema : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Lowlands tents.jpg|250px|thumb|Mji wa hema za wapenzi wa muziki waliokuja kwa tamasha za bendi]]
[[Picha:Hema sahili.jpg|250px|thumb|Muundo wa hema sahili]]
'''Hema''' ni kibanda chepesi kinachofanywa na kiunzi cha ndani na ganda la nje la kitambaa, plastiki au ngozi. Kazi yake ni kinga dhidi ya mvua, jua, baridi au athira nyingine za hali ya hewa. Hema ni rahisi kuvunjwa na kupelekwa mahali pengine kwa matumizi upya.