Mji mkuu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Nimebadilisha neno makao makuu ya nchi (Head quarter) na mji mkuu (City) nimetolea mfano Tanzania mji mkuu ni Dar es salaam sio makao makuu kwani makao makuu ya Tanzania ni Dodoma
Tags: KihaririOneshi Mobile edit Mobile web edit
Mstari 1:
'''MjiMakao mkuuMakuu''' ('''Head quarter''') kwa kawaida ni mji wenye makao ya [[serikali]] ya nchi fulani. Katika nchi nyingi mji huo pia ni mji mkubwa na muhimu zaidi kushinda miji mingine nchini. Mji mkuu ('''City''') ni sehemu yenye maendeleo makubwa sana katika nchi yoyote ina kila huduma muhimu na miundombinu iliyo bora. Mfano. Tanzania Mji mkuu ni '''Dar es Salaam''' na makao makuu ya Tanzania ni '''Dodoma'''. Kuna nchi ambako mji mmoja umeteuliwa kuwa mji mkuu katika [[katiba]] au kwa sheria fulani. Lakini kuna nchi nyingine ambazo hakuna sheria yoyote lakini makao makuu yanaeleweka yapo mji fulani.
 
Kuna nchi ambako mji mmoja umeteuliwa kuwa mji mkuu katika [[katiba]] au kwa sheria fulani. Lakini kuna nchi nyingine ambazo hakuna sheria yoyote lakini makao makuu yanaeleweka yapo mji fulani.
 
Nchi kadhaa zimeteua mji fulani kuwa mji mkuu kwa shabaha ya kubadilisha mwendo wa nchi au kama jaribio la kusahihisha historia yao.