Mji mkuu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Tengua pitio 989588 lililoandikwa na 169.255.184.136 (Majadiliano)
No edit summary
Mstari 1:
'''Mji mkuu''' kwa kawaida ni [[mji]] wenye [[makao makuu]] ya [[serikali]] ya nchi fulani. Katika nchi nyingi mji huo pia ni pia mji mkubwa na muhimu zaidi kushinda miji mingine nchini. Huo ni sehemu yenye [[maendeleo]] makubwa sana katika nchi yoyote: ina kila [[huduma]] muhimu na [[miundombinu]] iliyo bora. Mfano: nchini [[Tanzania]] mji mkubwa ni [[Dar es Salaam]], ingawa makao makuu ni [[Dodoma]].
 
Kuna nchi ambako mji mmoja umeteuliwa kuwa mji mkuu katika [[katiba]] au kwa [[sheria]] fulani. LakiniKumbe kuna nchi nyingine ambazoambako hakuna sheria yoyote lakini makao makuu yanaeleweka yapo mji fulani.
 
Nchi kadhaa zimeteua mji fulani kuwa mji mkuu kwa shabaha ya kubadilisha mwendo wa nchi au kama jaribio la kusahihisha [[historia]] yaoyake.
 
== [[Ukoloni|Koloni]] za zamani kuanzisha mji mkuu mpya ==