Yohane wa Fiesole : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|200px|Sehemu ya mchoro ''Matendo ya Mpingakristo'', kazi ya [[Luca Signorelli (1501 hivi), kanisa kuu la Orvieto...'
 
No edit summary
Mstari 1:
[[image:Fra Angelico portrait.jpg|thumb|200px|Sehemu ya mchoro ''Matendo ya Mpingakristo'', kazi ya [[Luca Signorelli]] (1501 hivi), [[kanisa kuu]] la [[Orvieto Cathedral]], [[Italia]]<ref>Considered to be a posthumous portrait of Fra Angelico.</ref>]]
'''Yohane wa Fiesole, [[O.P.]]''' au '''Beato Angelico''' (yaani, kwa [[Kiitalia]]: "Mwenye heri wa Kimalaika"<ref>Andrea del Sarto, Raphael and Michelangelo were all called "Beato" by their contemporaries because their skills were seen as a special gift from God</ref>; jina la awali: '''Guido di Pietro'''; [[1395]] hivi<ref>[http://www.metmuseum.org/toah/hi/hi_fang.htm Metropolitan Museum of Art]</ref> – [[18 Februari]] [[1455]]) alikuwa [[mtawa]] [[padri]] maarufu kama mmojawapo wa wachoraji wa kwanza wa [[Renaissance]] nchini [[Italia]]. [[Mtaalamu]] [[Giorgio Vasari]] katika [[kitabu]] chake ''[[Maisha ya Wasanii]]'' aliandika kwamba alikuwa na "kipaji adimu na kamili".<ref name=Vasari>[[Giorgio Vasari]], ''Lives of the Artists''. Penguin Classics, 1965.</ref>
 
Tarehe [[3 Oktoba]] [[1982]] [[Papa Yohane Paulo II]] alimtangaza rasmi kuwa [[mwenye heri]],<ref name="blessed">{{cite book | last1 = Bunson | first1 = Matthew | last2 = Bunson | first2 = Margaret | title = John Paul II's Book of Saints | publisher = Our Sunday Visitor | year = 1999 | pages = 156 | isbn = 0-87973-934-7 }}</ref> kutokana na [[utakatifu]] wa [[maisha]] yake, si tu kwa kipaji chake cha kutoka [[mbinguni]].<ref>Roman Martyrology—the official publication which includes all [[Saints]] and [[Blesseds]] recognised by the [[Roman Catholic Church]]</ref>. Vasari huyohuyo aliandika kwamba "haiwezekani kumsifu mno baba huyo mtakatifu, aliyekuwa mnyenyekevu na mtaratibu hivi katika yale yote aliyoyafanya na aliyoyasema, na ambaye picha zake zilichorwa kwa unyofu na ibada kubwa hivi."<ref name=Vasari/>
Mstari 9:
==Marejeo==
{{refbegin}}
*{{EB1911 |last=Rossetti |first=William Michael |authorlink=William Michael Rossetti |wstitle=Angelico, Fra }}
*[[William Michael Rossetti|Rossetti, William Michael]]. Angelico, Fra. ''[[1911 Encyclopædia Britannica]]''.
*[[William Hood|Hood, William]]. ''Fra Angelico at San Marco''. Yale University Press, 1993. ISBN 9780300057348
Line 29 ⟶ 28:
 
==Viungo vya nje==
{{EB1911 posterCommonscat|position=left|Angelico, Fra Angelico|<br>Fra Angelico}}
*[http://www.buzzle.com/articles/fra-angelico-painter-early-renaissance.html Fra Angelico – Painter of the Early Renaissance]
*[http://www.all-art.org/early_renaissance/fra_angelico1.html Fra Angelico in the "History of Art"]
Line 38 ⟶ 37:
*[http://1200artists.com/artist-fra_angelico.php Frescoes and paintings gallery]
*[http://libmma.contentdm.oclc.org/cdm/ref/collection/p15324coll10/id/187505 ''Italian Paintings: Florentine School''], a collection catalog containing information about the artist and his works (see pages: 77-82).
{{Commonscat|position=left|Fra Angelico|<br>Fra Angelico}}
 
{{mbegu-Mkristo}}