Andes : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
+kiungo
Mstari 1:
[[Picha:Nasa anden.jpg|thumb|Safu za milima ya Andes zinavyoonekana kutoka angani]]
'''Andes''' ni safu ya [[milima kunjamano]] na safu ndefu kabisa ya [[milima]] duniani. Inavuka urefu wote wa [[Amerika Kusini]] kutoka [[Kolombia]] katika kaskazini hadi [[Chile]] katika kusini upande wa magharibi wa bara hili ikiongozana na mstari wa pwani la [[Pasifiki]]. Urefu wa safu yote ni takriban 7,500 km. Milima ya juu inafikia kimo cha 6,962 m na wastani ya milima yote iko kwa 4000 m. Upana wa milima hii ni kati ya 200 km na 600 km.
 
== Safu za milima na nyanda za juu ==